Friday, 20 December 2013

JUST IN..... WANANCHI WENYE HASIRA WACHINJA HADI KUUA WATOTO WAWILI WA DIWANI WA CCM MKOANI MBEYA


Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili, mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya.
Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa kawaida.
Habari zaidi zinasema kawadhurumu wananchi viwanja vingi sana, wakati mwingine huuza kiwanja kimoja kwa zaidi ya watu watatu.Inasemekana hata ukimpeleka mahakamani anakushinda kesi, kifupi ni kuwa mahakama aliiweka mfukoni.
Endelea kuwa nasi kwa habari kamili
CHANZO: JAMII FORUM


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!