Watu 6 wamekufa papo hapo na wengine zaidi ya 12 wamejeruhiwa baada ya gari dogo la abiria Toyota Hiace kuligonga kwa nyuma lori la mizigo lililokuwa limeegeshwa barabarani bila tahadhari eneo la Kange nje kidogo ya Tanga.
Saturday, 21 December 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)













No comments:
Post a Comment