Saturday 28 December 2013

JACKIE CLIFF, ATUMA UJUMBE MZITO KWA MARTIN KADINDA..KUFUATIA YALIYOMKUTA CHINA.....


Yaelekea mwanadada Jackie alikuwa amejipanga kisawa sawa na alijitoa muhanga na kujua lolote lingeweza kumpata kutokana na kazi aliyo kuwa akifanya ya kubeba sembe. Jackie alijipanga na
kuamua kumuachia rafiki yake kipenzi Martin Kadinda maagizo na wosia wake just incase ikatokea akafariki. Jackie aliweza kuandika ujumbe huo kwenye status yake ya BBM kama inavyo onekana hapa chini.



Jackie amekamtwa mapema mwezi huu Macau, China na kilo 1.1 za heroin na sasa anasubiria hatma yake kutokana na kosa hilo la kusafirisha madawa ya kulevya. 


NA MASAI NYOTAMBOFU.......

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!