Thursday 26 December 2013

DIAMOND NA WEMA SEPETU WA "SEPETUNGA"

 Diamond na Wema wakicheza na kuimba pamoja
Diamond Platnumz na Wema Sepetu wameendelea kuliimarisha penzi lao kadri siku zinavyoenda. Uhakika wa kuwa wapenzi hawa wenye uhusiano wa ‘on and off’ wamerudiana kwa kasi, ulijulikana baada ya picha zao wakiwa Hong Kong kusambaa mtandaoni hali iliyopelekea kuzuka mgogoro mkubwa kati ya Diamond na mpenzi wake Penny ambaye kuna tetesi kuwa wameshaachana rasmi 







sddHii ilikuwa jana pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo.
Kwenye hiyo show Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”?
Show ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa ukimwona akasema, “Naskia ninayetaka kumuimbia wimbo huu yupo humuhumu ndani”.
Wema Sepetu akapanda kwenye stage wakaimba na kucheza wote.



1499625_654740321236056_1133727884_n

Picha kwa hisani ya Millard Ayo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!