Friday 13 December 2013

DIAMOND NA ISSUE YA KISURUALI AMEKATINGA TENA KALEKALE!, AOMBA DUA ASICHAMBWE TENA KAMA MWANZO!





Hahaha Diamond kanichekesha sana leo. Baada ya kuandamwa na mafashion police kutoka kila pande pamoja na mashabiki wake kuhusu suruali yake aliyo vaa kwenye harusi ya P-Square (pichani), leo hii ameitinga tena na kurusha picha Instagram akiambatanisha na kadua ili watu wasimchambe.




-->

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!