Sunday, 22 December 2013

DIAMOND ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WANAOLELEWA KATIKA MISINGI YA KUJITEGEME, AMNUNULIA MAMA YAKE BIDHAA MBALIMBALI ZINAZOTENGENEZWA NA WATOTO HAO


Nilipewa maelezo kuwa,hawa watoto wanalelewa 
katika misingi ya kujitegemea
,misingi ya kuwaandaa kuja
 kuwa watu flani hapo

 baadae,pale wanafundishwa stadi mbali mbali
 za maisha kulingana
 na future ya mtu iko
 vipi..hivyo nilitembelea baadhi ya miradi waliyoifanya .
.na nilivutiwa na baadhi ya vitu ambavyo
 ilinibidi nimnunulie mama yangu...

 Niliipenda hii cheni waliyoitengeneza hawa watoto...nikamnunulia mama


















 Mama mlezi akininifafanulia jambo kuhusu kazi wanazozifanya watoto

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!