Friday, 22 November 2013

WENGI WALIA NA KESI YA BABU SEYA NA MWANAE, NAKUSEMA HAWAKUTENDEWA HAKI.. HIZO NI BAADHI YA COMMENT KUHUSU KESI HIYO!




  • Web Peter Babu Seya na Mwanao Mungu anajua kwanini myapitie hayo. Kweli itabaki kuwa kweli machoni pa Mungu na kwa watu pia, inasikitisha sana kuna watu wanaiba na kuficha nje fedha za serikali wanawacha tuu, leo hii ndugu zetu wachina wanakamatwa na pembe za ndovu, kiganja cha binadamu tutasikia hawajafawanya kitu. Kwa staili nchi yetu imeoza kama funza wameisha anza kutoka duu! Duu! Duu! Babu Seya na mwanao Mungu yu pamoja.
     · 

  • Magele Winner Hata kama wakinyimwa uhuru Mungu kawapa uzima inatosha wamtukuze yeye kama paul na sila iko siko watakuwa huru

  • Lenard Eten Mkupi wasubr msamaha wa rais mpya wa CHADEMA watatoka 2 maana huyu anatoka madarkan


I pray for this family


Dah! poleni sana ila siku zote haki ipo kwa Mungu na sio Duniani mwenyezi Mungu na awe pamoja nanyi Daima


  • Mwanaidi Brown Mwangasa · 
    Ni kitu ambacho hakiwezekan ata kidogo ktk familia mkawa mnatabia moja. Mi camin ata kidogo ilo shitaka wanaloshitakiwa.....

  • Mubarak Lusonzo · 
    Ngoja tusubili utawala wa rais mpya mwaka 2016 watatoka tu lakini kwa huu utawala wa sasa una jini kisirani.!

    • Shadia Saidi
      Mwenyezi mungu yuko pamoja nao,na ss tunazidi kuwaombea kwa mwenyezi mungu awafanyie wepesi
      ONE DAY YES

      • Richard Kessy · 
        n vigumu xana baba na mwana kubaka

        • Samwel Westerberg · 
          Inauma sana

          • Bayona Ngaiza · 
            Kwa hali hii bac itakuwa ngumu haki kutendeka tena make hapa ndo palikuwa mahali sahihi kuwatoa jela,ila kuna jambo moja huwa linaniumizaw kichwa,huwa nasikia baadhi ya watu wanadai kuna mkono wa mkubwa kwenye case hii.Hivi km ni kweli kwanini hawa jamaa wanakaa kimya hawasemi kwamba fulani ndo anawaumiza hata wakipotezwa ila jamii itajua ukweli

        • Hamisi Mahembora Shabani ·
          In God we trust, iko siku ukweli utajulikana. Ni maisha tu hata wao waishi tu maana ndivyo walivyopangiwa.

          • Jovin Minja · 
            wamtumainie mungu tu

            • Arnold Elibariki · 
              wizi mtupu


            No comments:

             

            ADVERTISE WITH US

            AFRICAN FASHION

            PLACE YOUR ADS HERE!