Tuesday, 19 November 2013

WE DID OUR BEST!!! PORTUGAL WAWATOA WASWED 3-2

De startar mot Portugal - inga förändringar i returen - Fotboll - VM-kval 2014


Portugal yatoka kifua mbele na tiketi ya kuwania kombe la dunia, baada ya kuwashinda waswidi magoli 3-2 magoli yaliyofungwa na Christian Ronaldo, katika kipindi cha pili sweden iliongoza kwa 2-1 magoli yaliyofungwa na mchezaji tegemezi wa Sweden Zlatan Ibrahimovich, japokuwa juhudi zake ziliishia hapo, baada ya Ronaldo kusawazisha na kutundika bao lingine la ziada. Ndio hivyo asiyekubali kushindwa si mshindani.....THE WINNER TAKES ALL!!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!