Monday, 25 November 2013

WAZIRI MKUU KUFUNGUA MAJADILIANO YA SERIKALI ZA MITAA ZA TANZANIA NA CHINA.



Baadhi ya ujumbe wa watu wapatao zaidi ya 70 kutoka Serikali za Mitaa wakiaangalia mchoro wa ramani ya Tanzania ili kuelewa maeneo mbalimbali leo katika Makumbusho ya Taifa jiji Dares Salaam.

Naibu Gavana wa Jimbo la  Shandong , Xia  Geng akiangalia picha ya  mbalimbali za baba wa taifa hayati Mwalimu Julius  K. Nyerere katika Makumbusho ya Taifa  ikiwemo ya kuwekwa wakfu  kuwa  Rais wa Kwanza  wa Tanzania  mwaka 1962 leo jijini Dares Salaam.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!