Pages
(Move to ...)
Home
About
Products
LIVE TV
Radio
Contact
▼
Wednesday, 6 November 2013
UZINDUZI WA MPANGO WA SHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UINGEREZA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Maendeleo ya Kimataifa, Justine Greening (kushoto) kabla ya kuzindua Mpango wa Ushirikiano wa Maendeleo kati ya Tanzania na Uingereza katika Maendeleo ya Soko la Makampuni ya Kati uliofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency- Kilimajaro mjini Dar es salaam Novemba 5,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Uzinduzi wa Mpaango waUshirikiao wa Maendeleo kati yaTanzania na Uingereza katika Maendeleo ya Soko la Makampuni ya Kati uliofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency mjini Dar es salaam Novemba 5, 2013 wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment