Monday, 18 November 2013

MGAWO WA UMEME, " MENGI ASEMA ANGEKUWA YEYE NDIO MH MUHONGO ANGEJIUZURU"


Reginald Mengi  

Kutoka katika akaunt yake ya twitter Dr Reginal Mengi amemnanga hasimu wake ambaye waliyeingia kwenye mgogoro kutokana na issue ya uwekezaji kwenye vitalu vya gesi, 

Baada ya tanesco kutangaza mgawo wa umeme kwa mikoa iliyo kwenye grid ya taifa, sasa Mengi amnanga kijanja hapa namnukuu Reginald Mengi Mh Muhongo "Niwaambie Watz hakuna mgawo wa umeme na hautakuwepo" SasaTanesco yatangaza mgawo mikoa ya gridi ya taifa. Muungwana angejiuzulu

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!