MCHEZAJI Kim Bo-kyung ametokea benchi na kuisawazishia bao la pili Cardiff na kusababisha sare ya 2-2 dhidi ya Manchester United, mchezo wa ligi kuu soka nchini England.
Mshambuliaji hatari wa Man United, Wayne Mark Rooney aliiandikia bao la kuongoza klabu yake katika dakika ya 15 kipindi cha kwanza na baadaye dakika ya dakika ya 45 Patrice Evra akaandika bao la pili.
Mabao ya Cardiff yamefungwa na Campbell dakika 33, Kim dakika ya 90, na kufuta ndoto za mashabiki wa Man United kupata ushindi.
Kikosi cha Man Utd: De Gea 6, Smalling 6, Ferdinand 7, Evans 6, Evra 7, Fellaini 6, Cleverley 5, Valencia 6, Rooney 7, Januzaj 6 (Welbeck 68 6), Hernandez 6 (Giggs 73 6).
Kikosi cha Cardiff: Marshall 6, Theophile-Catherine 6, Caulker 6, Turner 5, Taylor 6, Cowie 6, Medel 7, Mutch 7 (Kim 77 6), Whittingham 7, Odemwingie 6 (Noone 65 6), Campbell 7 (Cornelius 84 6)
Kavuruga mipango: Bo-Kyung Kim akishangilia bao lake la kusawazisha na kuifanya Cardiff ipate sare ya 2-2
Mtelezo: Kim akishangilia bao
Kijana na bahati yake: Rooney alinusuruika kupata kadi nyekundu
Siku ya Ugenini: Bosi wa zamani wa United, Sir Alex Ferguson amehudhuria mechi yake ya kwanza ya ugenini na kujiunga na mmiliki wa Cardiff Vincent Tan
Kikosi cha Man City: Pantilimon 6; Zabaleta 7, Demichelis 6, Nastasic 6 (Lecsott 45mins 6), Clichy 6; Toure 7, Fernandhino 7; Navas 7, Negredo 8, Nasri 8 (Milner 77mins 6); Aguero 8 (Garcia 69mins 6).
Wafungaji wa mabao ya City: Navas, 1, 90, Aguero 41, 51, Sandro og 34, Negredo 56.
Kikosi cha Tottenham: Lloris 4; Walker 5, Dawson 5, Kaboul 5, Vertonghen 5; Sandro 4; Lennon 5, Holtby 4 (Adebayor 45mins 5), Paulinho 5 (Dembele 60mins 6), Lamela 4; Soldado 4 (Sigurdsson, 61mins 5) .










Shambulizi la mapema: Winga wa Kihispania Jesus Navas aliifungia klabu yake ya Man City bao la kuongoza dhidi ya Tottenham baada ya sekundi 14 tu
Mbele sasa: Navas akishangilia eneo la kona na mashabiki wa Man City baada ya kufunga bao la kuongoza


No comments:
Post a Comment