Thursday, 21 November 2013

KESI ZOTE KUSIKILIZWA NA KUKAMILIKA KWA MUDA USIOZIDI MIAKA MIWILI

KESI ZOTE KUSIKILIZWA NA KUKAMILIKA KWA MUDA USIOZIDI MIAKA MIWILI

Jaji kiongozi wa Mahakama kuu ya Tanzania, Fakihi Jundu amesema kuanzia sasa kesi zote zitakazofunguliwa mahakamani ni lazima zisikilizwe na kukamilika ndani ya muda usiozidi miaka miwili ili kuondokana na kero ya ucheleweshwaji wa kesi sambamba na kumaliza mlundikano wa kesi kwenye mahakama mbalimbali za Tanzania. Jaji JUNDU ameeleza hayo wakati akiweka jiwe la Msingi kwene jengo la kisasa ambalo limejengwa na wananchi wa kata ya Buuni wilaani Chunya kwa ajili ya matumizi ya mahakama ya mwanzo ya Totowe Wilayni huko. Kwa upande wake Jaji mfawadhi wa mahakama kuu kanda ya Mbeya, Noel Peter chocha amewataka watumishi wa mahakama watakaopewa dhamana ya kuendesha jengo hilo kutambua kuwa haki ni matakwa ya kisheria na jamii hivyo kutumia jengo hilo kutambua kuwa haki ni matakwa ya kisheria na jamii hivyo na jamii hivyo kutumia jengo hilo kwa ajili ya haki pekee na sio vinginevyo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!