KAMA BALOZI WA KAMPENI YA GROW YA OXFAM SHAMIM MWASHA JANA AMEZINDUA RASMI KAMPENI YA KUHAMASISHA WANATAALUMA WASHIRIKI KATIKA KUMSAIDIA MWANAMKE MKULIMA ILI AWEZE KUEPUKANA NA UMASKINI,
SHINDANO HILI LITAKUWA LINAKUHITAJI WEWE MDAU KUJAZA FOMU NA UELEZEE VIPI ULIWEZA KUMSAIDIA MKULIMA NA UTUAMBIE NI NINI TUMSAIDIE KUMNUNULIA CHENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI TANO IWAPO ATASHINDA.
![ox1](http://www.8020fashionsblog.com/wp-content/uploads/2013/11/ox1.jpg)
![ox4](http://www.8020fashionsblog.com/wp-content/uploads/2013/11/ox4.jpg)
![ox5](http://www.8020fashionsblog.com/wp-content/uploads/2013/11/ox5.jpg)
NILIKUWA SAMBAMBA NA MWANAHAMISI SALIM MENEJA WA USHAWISHI NA UENEZI WA HAKI ZA KIUCHUMI WA GROW TANZANIA AMBAYE ANASIMAMIA KAMPENI HII YA GROW
www.millardayo.com, bongo5.com, issamichuzi.blogspot.com, othmanmichuzi.blogspot.com, http://michuzijr.blogspot.com,missiepopular.blogspot.com na blog zaidi ya 10 mikoani zinazomilikiwa na tone media ambazo zinahusika na mikoaya Tanzania
No comments:
Post a Comment