JUST IN...AUA WAWILI KWA RISASI NA KUJIUA MWENYEWE NDANI YA GARI ILALA DAR-ES-SALAAM
Mtu mmoja ambaye bado hajafahamika jina lake amewaua watu wawili kwa kuwapiga risasi ndani ya gari na kujeruhi mmoja kisha naye akajiua kwa risasi asubuhi hii jirani na Baa ya Wazee iliyopo Ilala, jijini Dar es Salaam!
No comments:
Post a Comment