Mfanyabiashara wa magari jijini Mwanza, Gabriel Munisi (35), aliyejiua
jana baada ya kumuua mtu mmoja na kujeruhi wengine watatu jijini Dar es
Salaam katika tukio linalohusishwa na wivu wa mapenzi, alikuwa amepanga
kufanya hivyo tangu September mwaka huu. September 18 mwaka huu kupitia ukurasa wake wa Facebook, Gabriel ambaye wengi walikuwa wakimuita Gabu, aliandika:
Najua
mtasema sana ila hakuna anaejua ukweli zaidi yangu mm muhusika na najua
wazi mengi mtawaza na hamtopata majibu yake…. (Remember all things are
possible).
Source: Mwananchi,















No comments:
Post a Comment