Thursday, 21 November 2013

HII ILIKUWA NDIO RUFAA YA MWISHO YA PAPII NA BABA YAKE, JE NI SAWA KWA ADHABU WALIOPEWA YA KUTUMIKIA KIFUNGO MAISHA?

MSANII JOSEPH MARA AKIONGEA NA WANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA KUTOLEWA HUKUMU NA KUTUPILIA MBALI
BAADHI YA NDUGU WAKILIA WAKATI NGUZA NA  MWANAE WAKIPANDA GARI LA MAGEREZA LEO
BAADHI YA WATU MBALIMBALI WALIOFIKA KATIKA MAHAKAMA YA RUFAA LEO
NDUGU NA JAMAA WAKILIA KWA HUZUNI KATIKA MAHAKAMA HIYO LEO
BAADHI YA NDUGU WAKIMUAGA NGUZA VICKING NA MWANAE JOHNSON NGUZA PAPI KOCHA
WANAMUZIKI NGUZA VICKING NA JOHNSON NGUZA WAKIWAGA NDUGU NA MASHABIKI NA JAMAA WALIOFIKA KWENYWE MAHAKAMA YA RUFAA LEO BAADA YA KUTUPIWA MBALI
WAKIPANDA KWENYE GARI LA MAGEREZA

WAKIPANDA KWENYE GARI LA MAGEREZA
WAKITOKA KATIKA CHUMBA CHA MAHAKAMA YA RUFAA LEO

2 comments:

Anonymous said...

mungu awasaidie hawa jamaa wameteseka vya kutosha ukizingatia kesi yenyewe nasikia ilitungwa tu kuwaangamiza its soo sad, watu wanaua hawafungwi maisha iweje hawa?
Tanzania sheria ni kujuana, hii inaskitisha sana..

MIMI mkereketwa

emmamoshi said...

emmamoshi yz56 minuter

Kiukweli hii nchi haina mwenyewe inauma sana jaman

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!