SUKARI YA WAREMBO (DIAMOND) SASA NI KAMA SIMBA NA YANGA, WASHABIKI PANDE ZOTE, MALUMBANO YATAWALA!
HABARI ZA UMBEYA...........WEMA SEPETU NA DIAMOND SASA PENNY NAYE ALIPA KISASI!!
:
Ama Kweli Mapenzi Kizunguzungu na Ukuyafuatilia Unaweza Ukazimia.Mapenzi ni kama Mchezo wa Karata Ukukosea Kwa Mastaa anakupiku Mwenzako.Hii ni Baada ya Mwanadada Peeny Kuoneakana na Mshakaji ambaye Tulianza Kumuongelea Humu
Humu "Raheem Da Prince" Mshkaji na Brothermen aliyemaliza Chuo Kikuu Pale University Of Dar-Es-Salam.Check Picha Yao kwa Pamoja When You DO Me I Do You
Humu "Raheem Da Prince" Mshkaji na Brothermen aliyemaliza Chuo Kikuu Pale University Of Dar-Es-Salam.Check Picha Yao kwa Pamoja When You DO Me I Do You
MTANGAZAJI WA ITV UFOO SARO APIGWA RISASI
*Asimulia kilichotokea siku ya tukio
*Aeleza wasifu, hulka za mzazi mwenzake aliyemjeruhi na kumuua mama yake mzazi
*Asononeshwa na taarifa potofu zinazozingira tukio zima la kujeruhiwa kwake
*Aeleza wasifu, hulka za mzazi mwenzake aliyemjeruhi na kumuua mama yake mzazi
*Asononeshwa na taarifa potofu zinazozingira tukio zima la kujeruhiwa kwake
MWANDISHI wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro ambaye hivi karibuni alikumbwa na madhila ya kupigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na mzazi mwenzie, ameanza kufunguka kidogo kidogo na kueleza kwa kina jinsi tukio zima lilivyotokea.
PICHA ZA WEMA SEPETU NA DIAMOND KATIKA MAPOZI TOFAUTI YA KIMAHABA NCHINI HONG KONG HIVI KARIBUNI.