Saturday, 2 November 2013

HABARI ZILIZOTINGISHA MWEZI OCTOBER..



SUKARI YA WAREMBO (DIAMOND) SASA NI KAMA SIMBA NA YANGA, WASHABIKI PANDE ZOTE, MALUMBANO YATAWALA!






Haya ndio maandalizi ya bibie Penny kwa ajili ya Birthday ya Mpenzi wake Diamond


 HAYA NI MANENO YA DIAMOND ALIYOANDIKA...
 

Diamond Platnumz · 109,581 like this.
14 hours ago · 
  • how it feels ndani ya hiyo siku mhimu kabisa
    unapofanyiwa kitu kizuri na cha pekee na mtu
    mhimu maishani mwako,inapendeza siyo?hivyo ndivyo
    nilivyojiskia siku ya jana baada ya
    kufanyiwa suprise ya birthday party
    na kipenzi changu,Penniel

PICHA ZA WEMA SEPETU NA DIAMOND KATIKA MAPOZI TOFAUTI YA KIMAHABA NCHINI HONG KONG HIVI KARIBUNI.

Image


HABARI ZA UMBEYA...........WEMA SEPETU NA DIAMOND SASA PENNY NAYE ALIPA KISASI!!

:
  Raheeem akiwa kwenye pozi na Mwanadada Penny 
 Ama Kweli Mapenzi Kizunguzungu na Ukuyafuatilia Unaweza Ukazimia.Mapenzi ni kama Mchezo wa Karata Ukukosea Kwa Mastaa anakupiku Mwenzako.Hii ni Baada ya Mwanadada Peeny Kuoneakana na Mshakaji ambaye Tulianza Kumuongelea Humu 
Humu "Raheem Da Prince" Mshkaji na Brothermen aliyemaliza Chuo Kikuu Pale University Of Dar-Es-Salam.Check Picha Yao kwa Pamoja When You DO Me I Do You


MTANGAZAJI WA ITV UFOO SARO APIGWA RISASI

  *Asimulia kilichotokea siku ya tukio
*Aeleza wasifu, hulka za mzazi mwenzake aliyemjeruhi na kumuua mama yake mzazi
*Asononeshwa na taarifa potofu zinazozingira tukio zima la kujeruhiwa kwake
MWANDISHI  wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro ambaye hivi karibuni alikumbwa na madhila ya kupigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na mzazi mwenzie, ameanza kufunguka kidogo kidogo na kueleza kwa kina jinsi tukio zima lilivyotokea.





No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!