Monday, 18 November 2013

HABARI ZA KIMATAIFA/ AJALI YA NDEGE YAUA URUSI, 50 WAPOTEZA MAISHA.


Ndege aina ya Boeing 737 baada kulipuka.Mabaki ya ndege ya Boeing 737.
Magari ya kubebea wagonjwa yalionekana nje ya uwanja wa Kazan airport.

Watu 50 waliokuwa katika ndege aina ya Boeing 737 wamepoteza maisha baada ya ndege hiyo kulipuka wakati ikijaribu kutua jijini Kazan, Urusi ikitokea Moscow!

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!