BAADA YA MGANGA WA KIENYEJI KUKUTWA NA KIGANJA CHA MKONO WA MTU, SASA WACHINA NAO WAKUTWA NA KIGANJA CHA MKONO WA BINADAMU
Jeshil la Polisi linawashilikia raia 2 wa china wa Kiwanda cha Urafiki Plastick Mabibo DSM baada yakukutwa na kiganja cha mfanyakazi wao kilichokatwa na mashine wiki iliyopita.
No comments:
Post a Comment