Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakimsikiliza Balozi wa Tanzania nchini China Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo (kushoto) wakati aliposoma taarifa kwa Waziri Mkuu ambaye Oktoba 16, 2013 aliwasili mjiniBeijing kwa ziara ya kikazi nchini China >(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya China National Machinery Industry Federation na Mwenyekiti wa Bod ya Kampuni ya TBEA, Bw, Zhang Xin baada a mazungumzo yao mjini Beijing Oktoba 16, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)













No comments:
Post a Comment