Wednesday, 9 October 2013

WADAU KUTOKA TANZANIA WASHIRIKI IBADA YA HIJJA, NCHINI SAUDI ARABIA

Wadau Globu ya Jamii kutoka nchini Tanzania wakiwa katika ibada ya HIJJA nchini Saudi Arabia,ikiwa ni sehemu ya kutekeleza nguzo ya Tano za  imani ya Dini ya Kiislam,anaeonekana mbele ni Mdau Jamal Hashim wa TBC..
Wadau kutoka nchini Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ibada ya HIJJA nchini Saudi Arabia,ikiwa ni sehemu ya kutekeleza nguzo ya Tano za  imani ya Dini ya Kiislam

PICHA KWA HISANI YA ISSA MICHUZI.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!