TAZAMA DIAMOND PLATNUMZ AKIIMBA TEMPTATION YA P SQUARE KWENYE PROJECT YA COKE STUDIO AFRIKA...KATISHA SANA
Hii ni video ambayo Diamond ame-perform wimbo wa Temptation wa P Square kwenye project ya Coke Studio Africa. Diamond ameimba sehemu kubwa ya wimbo huu akiwa na live band pamoja na back ya msanii HHP.Chukua time yako kuiangalia hapa
No comments:
Post a Comment