skip to main |
skip to sidebar
PICHA NA VIDEO YA MAPOKEZI YA MSANII DAVINO KUTOKA NIGERIA KWA AJIRI YA FIESTA
Muimbaji wa Skelewu, Mnaigeria Davido ametua jijini Dar es Salaam akiwa na ulinzi mkali wa mabaunsa takriban wanne walioshiba. Akiwa na kofia, miwani nyeusi na kibegi mgongoni kama mtoto wa shule, Davido alitua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere saa tano usiku.
Davido akihojiwa na Clouds TV
Muda mfupi baada ya kufika Dar es Salaam, Davido alitweet