Monday, 21 October 2013

MDAU ANNA PETER APEMA ALIA NA PEPO WA USHABIKI WA MPIRA NA HII NI KAULI YAKE JUU YA PEPO HILO!


Nilikuwa nasali sana Mungu aniondolee ushabiki na mapenzi kwa mpira,mwanzoni nahisi kama niliweza,sasa sijui kwanini matokeo ya jana yamenipa homa,nasema hiviii "PEPO LA USHABIKI WA MPIRA TOKAAAA" Amen,isiwe taabu!


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!