MBEYA KUNANI? MTOTO WA MIAKA 4 "JOSHUA ISAAC" AKUTWA AMEFARIKI NDANI YA SHIMO LA CHOO CHA JIRANI MKOANI MBEYA
Mwili wa Marehemu Joshua Isaac, 4, mara baada ya kutolewa kwenye shimo la choo cha jirani alikutumbukia na kufikwa umati. Habari zinasema kwamba juzi marehemu alikuwa anacheza na wenzake kisha akatoweka.
No comments:
Post a Comment