Thursday, 31 October 2013

MBEYA KUNANI? MTOTO WA MIAKA 4 "JOSHUA ISAAC" AKUTWA AMEFARIKI NDANI YA SHIMO LA CHOO CHA JIRANI MKOANI MBEYA



Mwili wa Marehemu Joshua Isaac, 4,  mara baada ya kutolewa kwenye shimo la choo cha jirani alikutumbukia  na kufikwa umati. Habari zinasema kwamba juzi marehemu alikuwa anacheza na wenzake kisha akatoweka. 
 
Wadau mbali mbali wakishuhudia jana hilo


No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!