Pages

Saturday, 19 October 2013

LULU "DUA ZANGU ZIKO PAMOJA NA MZEE NGUZA NA PAPII KOCHA HAKUNA LINALOSHINDIKANA MBELE ZA MUNGU"

Hot Lulu Michael http://kajunason.blogspot.com/2013/01/elizabeth-michael-lulu-aachiwa-huru-kwa.html


“Ninaamini Mungu yupo...anasikia,anaona na ndiye mwenye kuhukumu kwa Haki...!!!!Dua zangu ziko pamoja na Mzee Nguza na Papii Kocha...!hakuna linaloshindikana mbele ya Mwenyezi Mungu...Kama anaweza kutoa Jaribu basi yeye pia ndo mwenye Uwezo wa kufanya Njia ya kutoka ktk jaribu Hilo...!Mwenyezi Mungu awasimamie katika rufaa yenu...!AMEN”

Hayo ni maneno ya mwanadada Elizabeth Michael (LULU) aliyoyaandika kupitia kwenye mtandao akiwaombea kheri Mzee Nguza na mwanawe Papii Kocha wanaosubiria kusikilizwa kwa rufaa yao ya kesi ya ulawiti inayowakabili
 

No comments:

Post a Comment