Sunday, 20 October 2013

JUST IN........ MTANGAZAJI MKONGWE JULIUS NYAISANGA (AUNCLE J) AFARIKI DUNIA


 





Habari mbaya na zenye kusikitisha ambazo mtandao huu umezipata kutoka mkoani morogoro asubuhi hii ni kuwa mtangazaji mkongwe hapa nchini Julius Nyaisanga maarufu kama "Uncle J" (pichani) amefariki dunia

Kwa mujibu wa chanzo chetu taarifa za kifo chake zimezagaa asubuhi hii na bado haijafahamika zaidi sababu za kifo chake

Hadi Julius Nyaisanga anafariki dunia alikuwa meneja wa kituo cha redio Abood FM cha mjini Morogoro, na alijulikana sana tangu akifanya kazi Redio Tanzania sasa hivi inajulikana kama TBC Taifa na Redio One stereo

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!