Monday 30 September 2013

SIMBA SC YAZIDI KUKWEA KILELENI - TAMBWE MWISHO WA UBISHI!

 



 (Picha na Francis Dande)
 Wachezaji wa Simba na Ruvu JKT wakisalimiana kabla ya pambano lao la Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba imeshinda 2-0.

 Mshambuliaji wa Simba, Betram Mombeki akimiliki mpira huku akizongwana na wachezaji wa JKT Ruvu, Nashon Naftali (kulia) na Emmanuel Pius wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa.
 Kizaazaa
 Mwamuzi wa mchezo huo, A. Kayombo kutoka Rukwa akiwatuliza wachezaji wa JKT Ruvu baada ya kuilalamikia pelnati waliopata Simba. 
 Mnazi wa Simba akifurahia matokeo ya mechi ya leo.
 Joseph Owino akichuana na Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Amos Mgisa.
Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo akichuana na beki wa JKT Ruvu, Stanley Nkomola.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!