Sunday 8 September 2013

MWILI WA MWANAMKE ALIEUAWA KIKATILI KAWE JIJINI WASAFIRISHWA KWA MAZISHI MKOANI DODOMA, MUUAJI BADO HAJAKAMATWA WANANCHI MNAOMBWA KUTOA MSAADA WENU KWANI HUYU MTU NI HATARI KWA JAMII...


 Mwili wa Marehemu Yusta Mkali ukiwa tayari kwa kuagwa Hospital ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam,na kuanza kwa safari ya mazishi yatakayofanyika kijiji cha Nzasa Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

Wakinamama wakilia kwa uchungu.
 Mtoto wa Marehemu Baraka Simon(12)akimuaga mama yake mzazi kabla ya safari ya kwenda mkoani Dodoma kwa mazishi kuanza aliemshikilia ni mama yake mkubwa Lucy Ngorido.
Baadhi ya wafanyakazi aliokuwa akifanya nao kazi wakitoa heshima za mwisho.Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Yusta Mkali likifunikwa na kupandishwa kwenye gari tayari kwa kuanza safari ya kwenda mkoani Dodoma kwa mazishi yatakayofanyika hapo kesho.
Safari imeanza
Mtuhumiwa Musa Senkando ambaye bado anatafutwa na Polisi kwa mahojiano wananchi mnaombwa msaada wenu kwani huyu mtu ni hatari sana katika jamii yetu

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!