
| Prof Jay akiwa na marehemu mama mzazi enzi za uhai wake |
Habari zilizotufikia mda mfupi uliopita zinasema kuwa wasanii wa
bongo fleva,Z-anto na Prof jay wote wamefiwa na mama zao,ambapo mama
mzazi wa mwimbaji Z-anton amefariki mchana
wa leo baada ya kusumbuliwa na tatizo la ini pia mama
wa Prof jay nae amefiwa na mama yake usiku huu..

Z-ANTO













No comments:
Post a Comment