Monday, 15 July 2013

WANAFUNZI WA MWAKA WA 3 CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI(TEKU) HATIMAYE KULIPWA PESA ZAO ZA RESEARCH.

Sunday, July 14, 2013

NEWS ALERT: HATIMAYE PESA ZA RESEARCH KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA 3 CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI (TEKU) KULIPWA PESA ZAO KUANZIA KESHO.

  Vice Chancellor wa TEKU Prof. Dr. Tuli Kassimoto
 Huu ni uthbitisho wa kupokea Fedha hizo leo na sio kama walivyo kuwa wakidai wanafunzi kuwa Chuo kilitunza Fedha zao katika (Fixed deposit)
Huu ni uthibitisho kutoka Bodi ya Mikopo wakati walipoanza kufanya malipo kwa ajili ya wanafunzi .

IMETOLEWA NA 
UTAWALA 
CHUO KIKUU CHA TEOFILO KISANJI

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!