
Happy Birthday, Paula
Leo ni siku ya kuzaliwa ya mtoto wa kwanza wa producer Paul
Matthysse aka P-Funk Majani aliyezaa na aliyekuwa mchumba wake Kajala
Masanja.
Wazazi hao wamemtembelea mtoto wao shuleni na kupiga naye
picha.
Kupitia Instagram, Kajala ameshare picha kadhaa
zinamuonesha akiwa na Majani, binti yao Paula na Wema Sepetu















No comments:
Post a Comment