

Mwili wa marehemu Tofiki Said Mpira, jana jumamosi 06-07-2013 uliagwa na umati wa Watanzania toka Roma na Napoli tayari kwa kusafirishwa kwenda nchini Tanzania jumanne tarehe 09-07-2013. Itakumbukwa kuwa Marehemu Tofiki Said Mpira alifariki mjini Rome tarehe 28 Juni 2013 kwenye hospitali ya Lazzaro Spallanzani saa kumi na mbili na nusu asubuhi.













No comments:
Post a Comment