![]() |
| Irene |
Kunasaa najiuliza kwanin ukimwamin
mtu ndio anageuka...kwanin ukiwa muwaz
watu wanakuchukulia vbaya? Leo nimeumia sanaaa
kuliko skuzote...sijaamini mtu niliye mwamini
kumuona kama rafiki yangu anaweza kuongea shit
kuhusu mim...au najiuliza siruhusiwi kuwa na rafik wa
kiume? Lakin sanyingine nakaa chin nasema god ...u
know me better














No comments:
Post a Comment