OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) inayoendeshwa na mapaparazi wa Global Publishers inazidi kufichua ‘madudu’ kwenye jamii, safari hii imekutana na machangu ambao wamecharuka kuendeleza biashara hiyo kwa kisingizio cha kutafuta fedha za kununulia futari.
Maeneo ambayo yalionekana…
Machangu wakiwa kazini.
‘Askari’ wa OFM, wiki iliyopita alifanya uchunguzi katika viunga mbalimbali maarufu kwa biashara hiyo na kukuta machangudoa wakifanya biashara yao kama inavyokuwa katika miezi ya kawaida.Maeneo ambayo yalionekana…
kushamiri zaidi kwa biashara hiyo ni Barabara ya Mwananyamala Hospitali, American Chipsi, Makaburi ya Kinondoni, Viwanja vya Leaders Club, Taasisi ya Moyo, Jolly Club (Masaki), Hospitali ya Agha-Khan, New Maisha Club (Masaki) na Coco Beach.
Changudoa: “Wewe tumia ubongo na maswali yako yanayotia njaa, hata kama sisi tunafunga au hatufungi tuna watu wanaotutegemea majumbani kwetu kuwatafutia futari, sasa tusipohangaika itakuwaje?”
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu waliozungumza na Ijumaa Wikienda, walionesha kukerwa na tabia hiyo na kulaani vibaya kwani mwezi huu ni maalum kwa ajili ya kumrudia mwenyezi Mungu na kuacha dhambi
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu waliozungumza na Ijumaa Wikienda, walionesha kukerwa na tabia hiyo na kulaani vibaya kwani mwezi huu ni maalum kwa ajili ya kumrudia mwenyezi Mungu na kuacha dhambi










.jpg)
.jpg)





No comments:
Post a Comment