Tuesday 16 July 2013

KIJANA ALIYETEMBEA KWA MIGUU TOKA MBEYA HADI DSM AKIKAMILISHA SAFARI YAKE.


 




Kijana Wiseman Luvanda(23) akikamilisha safari yake ya kutoka Mbeya hadi Dar es salaam kwa miguu
Kauli mbiu yake "Tanzania nchi yangu,Taifa Stars Timu yangu, Amka wakati wa Uzalendo ni Sasa". Tumefanya nini kuienzi nchi?Kijana Wiseman Luvanda (23) akikamilisha safari yake ya kutoka Mbeya hadi Dar es salaam kwa miguu.
 
Kauli mbiu yake "Tanzania nchi yangu,Taifa Stars Timu yangu, Amka wakati wa Uzalendo ni Sasa". Tumefanya nini kuienzi nchi
.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!