Saturday 20 July 2013

AGNESS MASOGANGE MAPYA YAIBUKA, KUMBE MZIGO WA UNGA ULITOKA ASIA UKATUA BONGO KIMAZABE.

Stori:Shakoor Jongo

ZIMEPITA siku 16 tangu Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ kudaiwa kunaswa na madawa ya kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo mjini Kempton Park nchini Afrika Kusini, mapya yameibuka kuambatana na tukio hilo, Risasi Jumamosi linakupasha.

Chanzo   kinasema kuwa wakati staa huyo akijiandaa kuondoka nchini. Masogange aliondoka Julai 5, 2013.
Kabla ya hapo Masogange alipika pilau nyumbani kwake Kijitonyama , na kuwaalika watu mbalimbali wakiwemo kaka zake ambao majina yao hayakupatikana mara moja. Katika Hafla hiyo Masogange alisema ameamua kuwaalika chakula nyumbani kwake ili kutimiza furaha ya Moyo wake, hakusema ni furaha gani.

Inasemekana magegi yaliyotumika ni special yanauzwa kila moja sh laki nne maarufu kwa jina la (Hand Carter)

KUHUSU DHAMANA.
Dhamana ya Masogange na Mwenzake iko wazi Mahakamani, lakini watu wa kujitokeza mstari wa mbele ndio wanaingia mitini.
"huku dhamanaiko wazi, lakini watu wanakwepa kumdhamini sijui wanadhani atatoroka? Nijuavyo mimi ni kwamba passport yake imeshikilwa na serikali kwa hiyo hawezi kutoroka. Alisema mnyetishaji huyo aishiye nchini humo.


CHANZO GPL.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!