WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA AKIWA NYUMBANI KWAO MKOANI KATAVI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa Shule ya Msingi ya kakuni katika kijiji cha Kibaoni wilayani Mlele ambayo ujenzi wake unasimamiwa kwa karibu sana na yeye mwenyewe May 31, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Bibi Marietha Mkata wa kijiji cha Kibaoni wilayani Mlele wakati alipomtembelea Bibi huyo nyumbani kwake May 31, 2013. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment