Thursday, 20 June 2013

VIONGOZI WA CHADEMA NA WANANCHI WA ARUSHA WAMEACHIWA KWA DHAMANA.....POLISI YAMTAKA MBOWE APELEKE USHAHIDI KWA MKUU WA NCHI.


Jeshi la polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa Chadema na wananchi wote waliokuwa wanashikiliwa na limemtaka mwenyekiti wa Chadema Mh. Freeman Mbowe kuwasilisha ushahidi wa mtu aliyelipua bomu kwenye mkutano kwa Mh. Rais kama hana imani na jeshi la polisi,na amesem

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!