
Gari lililobeba mwili wa Albert Mangwea
Wananchi wakilisukuma gari lililobeba mwili wa Ngwea
![]() |
| Maelfu ya watanzania wakiongoza msafara kwa mguu kusindikiza mwili wa Marehemu Albert Mangweha Hospitsli ya Taifa Muhimbili...!! |
![]() |
| Mashabiki wa Albert Mangweha waliojitokeza Airport wakilia kwa uchungu baada ya kuona Jeneza lenye mwili wa Ndugu yetu Albert Mangweha ulipopokelewa.... |






















No comments:
Post a Comment