skip to main |
skip to sidebar
MAKAHABA WALIKAMATWA WAKIJIUZA KUPANDISHWA KIZIMBANI..
Mgambo
wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata akinadada wanaofanya
biashara ya kuuza miili yao maarufu kama Machangudoa katika eneo la
Sinza. Picha hizi ( juu)
zinaonesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa
katika vyombo vya sheria
No comments:
Post a Comment