

Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Kobero, amekutwa amekufa katika jumba moja linaloendelea kujengwa katika maeneo ya Kigogo jijini,kijana huyo marehemu pia alikutwa na chupa ya plastiki, ambayo inasadikiwakuwa ilikuwa na Pombe haramu aina ya Gongo....
Sababu ya kifo cha kijana huyo bado hakijajulikana, na polisi wanaendelea na uchunguzi.
Chanzo. GPL













No comments:
Post a Comment