Thursday, 6 June 2013

JUST IN....................NYUMBA ZAWAKA MOTO HUKO KINONDONI










Habari tulizozipata hivi punde Moto mkubwa umezuka na kuteketeza baadhi ya nyumba katika eneo la Kinondoni jijini Dar-es-salaam chanzo cha moto huohakijajulikana .Nyumba nne zimeungua moto ikiwemo baa moja iliyopo Kinondoni maarufu kama Kinondoni sterio ambayo imeteketea yote huku ikiacha hali ya sintofahamu kwa ndugu jamaa na marafiki waliopaswa kuhudhuria sherehe iliyokuwa imepangwa kufanyika katika moja ya ukumbi uliopo katika baa hiyo .

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!