Thursday, 13 June 2013

JUST IN.............MSANII WA BONGO FLEVA MAARUFU KWA JINA LA LANGA KILEO AMEFARIKI DUNIA

Photo: Msanii wa Bongo Fleva Langa Kileo Afariki dunia ....
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Msanii wa Bongo fleva  anayejulikana kwa jina la LANGA KILEO amefariki dunia majira ya saa kumi leo katika Hospitali ya Muhimbili, kwa mujibu wa baba mzazi wa Marehemu Langa, Mama wa Marehemu yupo Marekani anatarajiwa kuingia wakati wowote.Kwenye maelezo aliyoyatoa kwa millardayo Aminiel amesema Marehemu Langa alipokelewa kwenye idara ya wagonjwa wa magonjwa ya dharura usiku wa kuamkia jana na kupatiwa huduma ambapo leo June 13 2013 ndio alihamishiwa kwenye chumba cha wagonjwa Mahututi na baadae kufariki dunia.From:Millard 
 SOPHIE MBEYU BLOG itaendelea kukuhabarisha STAY TUNED....

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!