Friday, 7 June 2013

JINSI ILIVYOKUWA KATIKA MSIBA WA MUME WA MALKIA WA MIPASHO KHADIJA KOPA, KWA MAMA MZAZI WA MAREHEMU



 Mama Mzazi wa marehemu Jaffari Ally, Bi. Rehema Tuwa, akilia kwa uchungu nyumbani kwake Tandale jijini Dar.
Akina mama waliofika kumpa pole Mama Mzazi wa Jaffari.

SIMANZI, vilio na majonzi vilitawala nyumbani kwa Mama Mzazi wa marehemu Jaffari Ally, Bi. Rehema Tuwa, Tandale jijini Dar. 

Marehemu Jaffari ambaye alikuwa ni mume wa Malkia wa Mipasho nchini, Khadija Kopa amefariki dunia usiku wa kuamkia jana  katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo.
 Marehemu Jaffari alikuwa Diwani wa kata ya Magomeni wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakati mama yake mzazi ni Mwenyekiti wa UWT Tandale.
 Mungu ailaze roho ya marehemu Jaffari Ally mahali pema peponi. AMEN!
 

 



No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!