Wednesday, 19 June 2013

ONA JAMANI WANAWAKE TUSIVYOPENDANA! NA HAWA WAANDISHI NIAJE? BONGO KUSHNEHIIII?

 
Yaani hii kitu imeniuma, vyombo vya sheria vilichukua hatua gani? kwa nini walimtoa nje na kumuita mwizi, wakaamua kumpiga kiasi hicho? kwa kweli wanawake vitu kama hivi vinarudisha nyuma maendeleo sana. Siko hapa kuhukumu mtu. Lakini naona kila kitu hapo kimeenda kibongobongo tu, chekshia waandishi sasa, hata sijui ni waandishi gani AISEE! Huyu mdada hana makosa jamani nionavyo mimi, sijui wewe Mdau.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!