Sunday, 16 June 2013

IVORY COAST, YATOKA KIFUA MBELE 4-2 NA MPIRA UMEISHA..........


Mchezaji wa Taifa Stars Mwinyi Kazimoto, akiwachezesha gwaride wa Ivory coast, katika kinyang"anyiro cha kuwania kufuzu nafasi ya kucheza kombe la Dunia, Ivory Coast imetulamba 4-2.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!